MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,850
- 3,041
Binam kweli leo umeniweza mwaya. Unatumia browser gani my lovely kwani...? Lol.
😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!!
Kitu bora kwako ni lazima kiwe bora kwa kila mtu? Kila mtu anapenda kitu ambacho ni bora kwa upande wake.Yani Mkuu we umekalia Ubishi tuu [emoji38][emoji38]
Hembu fanya kama una Clarify ubora wa web browser dhdi ya Application
.
Napoteza ATP zang tuu hapa [emoji2][emoji2]
Wewe usema umeizoea Sana Web browser kuliko Application ila sio useme Web Browser ni Bora[emoji82][emoji82]
Hahahaaaaa. Lol.Hahah siunajua sababu ya mim kutumia browser japo chaguo langu haswa ni app lkn ndio haiwezekani ila nakushukuru mekumiss ukiletewa nazi na mimi dada nataka
Mwenzangu app itazua hekaheka bure mechoka mimiHahahaaaaa. Lol.
Mi pia mmekumiss sana tu. Hivyo na wewe kama Mgagaa na Upwa mnatumia browser sababu App haieleweki. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu bora kwako ni lazima kiwe bora kwa kila mtu? Kila mtu anapenda kitu ambacho ni bora kwa upande wake
[emoji28][emoji28]Nani huyo kasema hamuweziAu kuna mtu apendi kitu bora, au unafikiri sisi tunaotumia web hatuna uwezo kui download hiyo app?
[emoji2][emoji2]Kwa mantiki hii Hakuna Mtu duniani anapaswa kuitwa Mbishi, HakunaAlafu usipende kumuita mtu ni mbishi kisa akubaliani au haamini katika mawazo yako, huo ni udikteta
[emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa browser wameanza kupaniki. Wao si ndio wanatuita sisi wazee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana hata sio lazima kitu bora kwang kiwe bora kwa mwengine
Sasa si-ndio Maana nikasema Wewe useme umezoea Web browser kuliko Application (yani Simply umeiona bora)
[emoji28][emoji28]Nani huyo kasema hamuwezi
Mbona mnaweza kuidownload
[emoji2][emoji2]Kwa mantiki hii Hakuna Mtu duniani anapaswa kuitwa Mbishi, Hakuna
Sijajua huy Mbishi ni Mtu gani Sasa
Haya bhana boss Kila mtu atumie aonach kilicho Bora [emoji2][emoji2]
Yani Dada na wewe upo kwenye Kundi laUwiiii nilijikuta tu natumia browser kipindi kile cha nyuma enzi za maubuyu chitchat [emoji41] kwani ilinisaidia sana kupata tags kwa wakati hasa ile saa wambea tunatagiana yaani ilikuwa ukizubaa tu umepitwa. Lol. Cc. Rafiki Numbisa. [emoji3]
Toka hapo ndio natumia hiyo na sionagi ugumu kutumia japo waliozowea App wanakwambia Browser ina mzunguko ambao mi hata siuoni.
[emoji38][emoji38]Nimeshangaa hiy Attack Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa browser wameanza kupaniki. Wao si ndio wanatuita sisi wazee
Chief unawezaje wezaje kupata notifications ikiwa wenzako wanalalamika kila siku kutokupata notifications?
Hahahaaa. LolMwenzangu app itazua hekaheka bure mechoka mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabiaKunichotesha dhambi bure Mimi.
Lakini nilikwambia toka mwanzo kwamba ulivyodhani ndivyo sivyo [emoji23][emoji23]
Naimba tu Mimi wimbo wa prof j na chameleon
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fala sana weweSitaki kujibizana na wazee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ai mie hata kama kitu kikinichekesha siyo lazima nioneshe kuwa kimenichekesha, nalike tu comment ya huyo mtu basi. [emoji1787][emoji1787]View attachment 1425303
Piga kelele kwa browser akeee weuweee Zoë
Yan huku tunatoa reactions, kama kitu cha kuchekesha nacheka halafu imeisha hiyo.
Huko uzeeni sasa mambo tafrani, ukiona comment ya kuchekesha mpaka umqoute mtu na wewe ndio ukachekee huko ooh ni wastage of time eeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Uwii yaani browser tu yenyewe ilivyokaa gizani vile bado tena mtu anataka dark mode? Mwee nahisi ningechanganyikiwa mara dufu!
watu wanayatafuta kwa nguvu matatizo ya machoUwii yaani browser tu yenyewe ilivyo na giza giza vile bado tena mtu anataka dark mode? Mwee nahisi ningechanganyikiwa mara dufu!
Au Team Internet [emoji23][emoji23]Yani Dada na wewe upo kwenye Kundi la
Browsers, TeamOperaMin, TeamGoogle Chrome, TeamFirefox [emoji38][emoji38][emoji38]
Browser ina giza? Emu nionesheUwii yaani browser tu yenyewe ilivyo na giza giza vile bado tena mtu anataka dark mode? Mwee nahisi ningechanganyikiwa mara dufu!
Kabisa aise