Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Viongozi wa jamii forum WAMELEWA SIFA.
haiwezekani tatizo la notification likawa sugu.
Mimi tangu March 26 sijapata notification hata huko kwenye web nako hovyo kabisa.
Cha ajabu ukimtukana mtu wanakulisha BAN fasta lakini matatizo yao hawataki kuyashughulikia

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kutumia browser ni kama pattern vile, vichocholo vingi kuna wafaa wala miguu ya kuku,, watembezi.com


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama app ya JF ikifutwa nitapunguza sana kuperuzi

✓Nascroll tu chini hakuna kufungua mapage

✓Na-subscribe kwenye thread zenye mwendelezo mfano..uzi wa Manchester United,Uzi wa picha za vyakula,au ule wa Masihara..Pia na-subscribe nyuzi nanazotaka kuzisoma later on..

✓Pia iko snappy wakati una-navigate

✓Pia nafukua makaburi kiurahisi pia..sina uhakika kama kwenye browser inawezekana

✓Notification napata kama kawaida,so sina tatizo

#TeamJfApp
Chief unawezaje wezaje kupata notifications ikiwa wenzako wanalalamika kila siku kutokupata notifications?
 
Back
Top Bottom