π€£π€£π€£π€£ udwanzi tu huoHata Mimi nawashangaa watu wa browser
Eti unaanza kushukuru message..Ni Mambo ya ajabu Sana hayaπ
πππ nimependa tu kutumia app..shwain zakoKwani imekuwaje huko kwenye App? π
Nenda kwenye setting ya browser unayotumia utapata dark modeJapenda kutumia social networking yeyote in dark mode..kumbe kwa browser siipati basi nabaki hapa app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana kingβΊοΈNimekuquote huko tayari
Haya Mkuu pamoja πWala Usijali mkuu wote ni watumiaji wa jamiiForum. Na kila mtu anapata kile anachotaka.
Hii mada nafkiri ipo kwa ajili ya kutuchallenge tu na kutaniana kidogo.
Leo imezidi mkuu ππAah! Wapi mzee haya matatizo yenu ya kila siku kwani ni jambo jipya hili kutokea? ππ
πππ. Dah!Leo imezidi mkuu ππ
Sio bure itakuja na jambo tuu
Au mmeloga huko tuabike πππ
ππ Wakafungiege maandazi saa wakisubiria maboresho. ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna saa unakuaga mtata. Sasa wenye magazeti yao wakayatupie wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]