Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
🤣🤣🤣🤣 udwanzi tu huoHata Mimi nawashangaa watu wa browser
Eti unaanza kushukuru message..Ni Mambo ya ajabu Sana haya😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 udwanzi tu huoHata Mimi nawashangaa watu wa browser
Eti unaanza kushukuru message..Ni Mambo ya ajabu Sana haya😀
😂😂😂 nimependa tu kutumia app..shwain zakoKwani imekuwaje huko kwenye App? 😀
Nenda kwenye setting ya browser unayotumia utapata dark modeJapenda kutumia social networking yeyote in dark mode..kumbe kwa browser siipati basi nabaki hapa app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana king☺️Nimekuquote huko tayari
Haya Mkuu pamoja 👊Wala Usijali mkuu wote ni watumiaji wa jamiiForum. Na kila mtu anapata kile anachotaka.
Hii mada nafkiri ipo kwa ajili ya kutuchallenge tu na kutaniana kidogo.
Leo imezidi mkuu 😁😁Aah! Wapi mzee haya matatizo yenu ya kila siku kwani ni jambo jipya hili kutokea? 😂😂
😂😂😂. Dah!Leo imezidi mkuu 😁😁
Sio bure itakuja na jambo tuu
Au mmeloga huko tuabike 😆😆😆
😂😂 Wakafungiege maandazi saa wakisubiria maboresho. 🙈🙈[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna saa unakuaga mtata. Sasa wenye magazeti yao wakayatupie wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]