AiseeeApp ikibadilishwa navigation zikawa easy mnistue...Wafanye re-building the app kwanza ili ikae mkao!
Browser anyday, app ya jf naiona complicated sana af siielewi elewi tu kama ilivyo tweeter
Ila hamna hata notification[emoji23][emoji23]Naona chombo kimesharudi hewani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani dah, labda tusubiri hiyo mei mosi.Ila hamna hata notification[emoji23][emoji23]
Kuleta notifications kwa nyuzi mpya ambazo sio chaguo lako, kivipi tena?Changamoto ya brawser ni kuleta notification kwa nyuz mpya ambazo sio chaguo langu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mimi nifanyeje na siwezi kumuanza mtu labda yeye anianze, ninaoweza kuwaanza ni wale ninaowakubali mimi tu wengine hapana aise.
Kudadeki kwenye browser nachapia hadi siyo vizuri yaani comment moja naandika lisaa lizima ajili tu ya kurekebisha michapio, hapana kwa kweli natoka.
Ila hamna hata notification[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani dah, labda tusubiri hiyo mei mosi.
Unazoea matatizo sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilishazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazoea matatizo sio?
Hahah! Poleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunatumia kilegend wewe[emoji1787].
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwape pole nyie mnaotumia vitu visivyoeleweka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah! Poleni sana
Kwa kweli[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Free from Lock Up
Yani acha tuu [emoji38][emoji38][emoji38]Kwa kweli
Hatimaye tumetoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app