Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi sana wewe [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najiona kama Museven kwenye vita dhidi ya Corona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona post ya juu hapo jamaa kaja na takwimu kabisa
Mbali na kukumiss naomba kuuliza eti umemrudia??[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani Moderators ndio hao hao mafundi ??[emoji38][emoji38][emoji38]Mods sijui wanashindwa nini kutatua hili tatizo?
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee 😀Kwani Moderators ndio hao hao mafundi ??[emoji38][emoji38][emoji38]
Wao ndio wanaohusika na uendeshaji wa hii jamii mkuuKwani Moderators ndio hao hao mafundi ??[emoji38][emoji38][emoji38]
haha, Babe jamani kwani mwenye jimbo anasemaje'?Mbali na kukumiss naomba kuuliza eti umemrudia??[emoji16][emoji16]
#askingforafriend
Mods sijui wanashindwa nini kutatua hili tatizo?
[emoji1]Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee [emoji3]
Nadhani ameongelea kuhusu jana.[emoji1]Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?
Moderator wameshafanya kazi yao ya kutoa taarifa sehemu husika na Mafundi wanalijua kitambo. Ndio Maana wamesema kufikia tarehe moja mei mosi tatizo limeshakua Solved ..Unaposema Mods wanashindwa nini kutatua hili tatizo ? Watatuaje tena Yani Taarifa wahusika si wanayo[emoji3][emoji3][emoji3]