Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
- Thread starter
- #661
Kwani ni mara ngapi watumiaji wa App wanalalamika kwamba hawapati notifications na wakaahidiwa kwamba tatizo litatatuliwa? Baada ya kupewa hizo taarifa waliacha kulalamika au hadi leo bado wanalia tu kama siku zote?[emoji1]Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?
Moderator wameshafanya kazi yao ya kutoa taarifa sehemu husika na Mafundi wanalijua kitambo. Ndio Maana wamesema kufikia tarehe moja mei mosi tatizo limeshakua Solved ..Unaposema Mods wanashindwa nini kutatua hili tatizo ? Watatuaje tena Yani Taarifa wahusika si wanayo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kufanya hivyo haimaanishi kwamba wahusika hawana taarifa bali inakuwa kama ni kuwakumbusha kumbusha tu mzee