Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

una edit
Hakuna changamoto yoyote kwa anayetumia browser

Notifications on time,inaeleweka,unaweza kuedit ulichoandika(sina uhakika kama APP unaweza kuedit siku hizi),namna ya kutag kwa browser haiko complicated,bold,italic na mazaga zaga mengine yapo huku kwenye browser na ni rahisi mno kuyaapply

Browser haiachi ushahidi wa kwamba unatumia JF(mtu akishika simu yangu hawezi kujua kama hata naijua JF) kwasababu sina APP ya JF

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
1.app haina uwezo wa ku save thread ili kuweza kusoma offline ila browser inayo .pia haina uwezo wa ku access notifications zote kwa pamoja ,inaonesha notifications chache tu.
2.Browser imeondoa limitations hizo apo juu na kuongeza za kwake ambazo ni inachelewa kuleta notifications na pia inakuhitaji ku refresh page ili kuweza kufanya real time update ya kinachoendelea kwenye uzi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?

Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...

Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee 😀...

COVID 19 ipo tujikinge kwa kufuata ushauri tunaopewa na wataalamu
Kwa upande wangu napenda Browser zaidi ya application.

Sababu ni kuwa kila kitu kimepangwa na utaratibu wake na tena sio lazima mtu atoke kwa uzi ndiyo akasome notifications akiwa kwa browser.

Pale juu unapata vitu zote kuanzia notifications, messages, profile, search button na menu kuu ya JF zote ziko pale juu kwa corner.
 
Back
Top Bottom