Oohh mambo safi tu sijui weweHahah! Nipo tu sema ratiba inabana kimtindo
Mambo yako vipi lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana maana sio kwa hizi harakati
Kwamba pm yako ina page 192?Boss wetu hatuna shaka naye[emoji3]
Juzi nimechat na boss [emoji847]View attachment 1436639View attachment 1436640
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unapotea sana mzeeMimi pia niko poa sana wala msistuke [emoji16]... sema tu nimekua na vijimajukumu fulani hivi ndio vinanificha
Hahah chief unanivunjia heshima mie na usanii ni ardhi na mbingu[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nipo bhana...
Nimemuona nae ni msanii msanii tu
Ni kwenye Uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boss wetu hatuna shaka naye[emoji3]
Juzi nimechat na boss [emoji847]View attachment 1436639View attachment 1436640
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849]
Anachat na Max mpaka pages zinafika 192?
Chini Sana Wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana hapo ni PM sisi tumeshapitisha hiyo na imeisha
Kwamba melo akae anachat na Mimi messages zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni noma
πππChini Sana Wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app