Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?

Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...

Kuna sehemu niliona mtumiaji wa Browser akimuambia mtumiaji wa App kwamba App wanatumia wazee [emoji3]...

COVID 19 ipo tujikinge kwa kufuata ushauri tunaopewa na wataalamu

Hii inategemea na wewe wakati huo unataka kuingia jf unakuwa na kifaa gani kama simu haina maana kwenda kwa browser wakati kuna app so inategemea unatumia kifaaa gani muda huo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkija njooni ki Mei Mosi [emoji16]
Boss wetu hatuna shaka naye[emoji3]

Juzi nimechat na boss [emoji847]
Screenshot_20200501-174910.jpg
Screenshot_20200501-174901.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom