Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Inawezekana kabisa mkuu, tena chrome na chromium browsers ndio zina dark mode bila tatizo

Mkuu natumia Google Chrome browser kwenye nilijaribu kuweka dark moda ili-apply kwenye header nafkiri na footer ila body na text zote zipo kawaida tu kiongozi.

Unaweza kunipa maelekezo kama hutojali ya jinsi gani ya ku-apply kwa full screen iwe dark...?

Natanguliza shukran kwako. Thanks.
 
Mkuu natumia Google Chrome browser kwenye nilijaribu kuweka dark moda ili-apply kwenye header nafkiri na footer ila body na text zote zipo kawaida tu kiongozi.

Unaweza kunipa maelekezo kama hutojali ya jinsi gani ya ku-apply kwa full screen iwe dark...?

Natanguliza shukran kwako. Thanks.
Kwenye adress bar andika chrome://flags
Itafunguka page itakuwa na vitu vingi, search dark mode, badili kutoka default kwenda on.
Hii itabadili muonekano wa webpage zote utakazofungua kuwa dark mode na sio theme ya chrome pekee
images (1).jpeg
 
Nimeitoa kwa jamaa fulani nkaona sio mby ku share nanyi[emoji116][emoji116]

Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.

Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.

Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.

Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.

Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.

*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*

Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.

Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.

So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.

So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.

Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
 
Kwenye adress bar andika chrome://flags
Itafunguka page itakuwa na vitu vingi, search dark mode, badili kutoka default kwenda on.
Hii itabadili muonekano wa webpage zote utakazofungua kuwa dark mode na sio theme ya chrome pekeeView attachment 1431796

Mkuu kilichobadilika ni theme za browser tu ila page au website husika kama unavyoiona imebaki vile vile ikiwa kwenye light mode...!

Nakosea wapi bro...? Thanks.

Screenshot_20200427-175640.png
 
Back
Top Bottom