Mpaka sasa hivi ilitakiwa uwe kifungoni lakini cha ajabu bado unatamba tu, sasa tunajiuliza kuna nini hapa kati? π€[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku wa Kwanza kulimwa ban ntakuwa Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kosa gani[emoji3]?Mpaka sasa hivi ilitakiwa uwe kifungoni lakini cha ajabu bado unatamba tu, sasa tunajiuliza kuna nini hapa kati? [emoji848]
Mungu ni mwema na aendelee kutupigania[emoji120]
Aisee pole sana, Mungu akusaidie dawa zikuponeshe harakaAkhsante
Nina allergy ya pua, Sasa hapa juzi Kati nilisafiri kwenye barabara ya vumbi ikawa Shida Zaidi.
Hsp wananipa dawa zao kila siku na sioni Kama zinanisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo, mie tena.?Jinsi unavyozidi kurudi nyuma, jinsi ninavyozidi kupata uvivu
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani wewe unachelewa basii, [emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nisiongee kitu inakuwa nimeanza
Mpambane na Hali zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa browser hatuna hiyo, nyie watu wa App kwakuwa ni wambea ndio mnaoneshwa kabisa yaliyomo
Mungu ni mwema na aendelee kutupigania[emoji120]
Amin[emoji120]Aisee pole sana, Mungu akusaidie dawa zikuponeshe haraka
[emoji312][emoji961][emoji961][emoji961][emoji3][emoji3]
Naona umeamua kutembelea nyota yangu ya kutafutiwa sababu na kupewa skendo
Naunga mkono hoja[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi umesahau zile cheche zako za juzi eh?