Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

View attachment 1425217
Mbona ipo kama hivyo, kama kuna mtu huwezi kumuangalia jua ni yeye kazuia watu wasimpekue hata kwenye app hutoweza kumcheki.
Kusubscribe tread huku kinaitwa watch thread, ukiwatch utakuwa unapata notification

Hapo utaona posts alizopost, ila huwezi kuona threads alizoanzisha.

Hiyo option wameiondoa kwenye browser. "Started Threads"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siunaona sasa, ndio maana anataja vitu vingi hata sisi hatujawahi kuviona
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu dogo shida ni simu.
Wewe simu gani inaficha app?
Na hapo analalamika VN hazioni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siunaona sasa, ndio maana anataja vitu vingi hata sisi hatujawahi kuviona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki ya Nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ko zile screenshot zangu ukazishangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unatumia itel ya aina gani?[emoji23][emoji23]
 
Mimi nimeshawai kudowload app ya jamiiForum mara mbili na mara zote nilijikuta nazi uninstall, maana haikunivutia kutumia kabisa kwa kweli, kitu kimoja tu nilichokipenda ni kutokuwa na page number, una scroll tu.
 
Kwamba simu yake ina add vitu sio?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hii simu itakuja nivua nguo mbele za watu
Nikalale Mimi[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shwain zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkanipe iPhone mie ntaweza?
Hii yenyewe tu inanipeleka mputa Mara Google chrome sioni nimeificha wapi ila Kwenye setting ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Waaah![emoji134][emoji134][emoji134]

Yaani wewe hatuna msaada na wewe tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom