Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Umeona eeh?
Wanacompications kwa vitu ambavyo hata si vya muhimu

Sijui love,
Sijui hahaha
Eti mkuu hivi vina maanani gani[emoji3]

May mosi Melo anaachia kitu[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooo kumbe mei mosi tunaletewa kitu kipya, ngoja nikae mkao wa kula.

Hayo ya Love sijui Haha kwa kweli hayana umuhimu, mambo ni mengi muda mchache.
 
Bwana Weee App is Simplified form of web Browser ni vile tuu iko na Deficiency zake
Hapo umemamaliza kila kitu, hizo deficiency ndio kero kwetu, may be waboreshe zaidi.
Narudia tena kusema kitu pekee kilichopo kwenye app na kwenye web akipo ni ku scroll page tu lkn vingine vyote vipo na tena kwenye web ndio vipo vingi zaidi.
 
Woyooo kumbe mei mosi tunaletewa kitu kipya, ngoja nikae mkao wa kula.

Hayo ya Love sijui Haha kwa kweli hayana umuhimu, mambo ni mengi muda mchache.
Eti Mara dislike
Mara hizi emoj za kuchukia([emoji35])
Kwani made usipoipenda/comment si unaipita tu,kwani lazima kudislike

Kwa huu ushawishi eti kweli jamani tunashawishikaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom