Ikiguswa tu kidogo haichajAtegeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiguswa tu kidogo haichajAtegeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
Huu uzembe itabidi niacheNaona unazingatia sama mada za dawa kuliko mambo mengine
Kumbe[emoji3526]Huyo wa kishua hana cha kupoteza
Akirudi nyumban analia kidogo ananunuliwa mpya
Waeichoka wanataka mpya ndio mana wanaharibu
Ategeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
😂😂😂😂😂Kwani hii yangu ni Nini chizi Wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishawahi tumbukiza simu ya mama Yao mpya,ilikuwa hata mwezi haijamalizaWaeichoka wanataka mpya ndio mana wanaharibu
Sijui anataka agundue niniYaani mimi simu nikikaa nayo mwaka tu naichoka.
Stella anakaa nayo miaka 3,dah[emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mimi simu nikikaa nayo mwaka tu naichoka.
Stella anakaa nayo miaka 3,dah[emoji134]
😂😂😂😂😂😂Fala wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Saivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sanaWalishawahi tumbukiza simu ya mama Yao mpya,ilikuwa hata mwezi haijamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yupo ugenini sasa na hilo shangwe mpaka wenyeji wanashangaa
Continental😂😂😂😂 sio Zuku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli leo nimekukalia kooni hadi umetoa kubwa
#bwegewewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio Zuku?
Kwendeni huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Continental
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Ni ef 20 au sio
Jinga wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app