Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

habari ya mda huu wana jf
kama kichwa kinavyojieleza wadau
hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
Yan mfano video sauti za kingereza ila unataka usikie kiswahili? Kama ni hyo hakuna maana zile sauti uwa wanazitengeneza voice over artists na wanalipqa about $7+ per minute
 
namaanisha app Kama google translate
 
Sauti kuwa maandishi youtube inafanya

Sauti kwa Sauti Skype inafanya

Ila usitegemee kitu perfect ama mteremko, utahitaji muda na dedication ya kutosha.
 
hivi naonaga na zile tamthilia za azam kama the city,kulfi,ertugrul naonaga wanaingiza maneno ya kiswahil hivi huwa wanafahamu kiturkish au inakuaje pale.
Zile ni watu halisi wametafsiri, hata kama hawajui kituruki wale wanaopngea kiswahili, kuna mtu anaeandaa script na kuwatafsiria na wao wanaongea.
 
Ertugrul ndio imenifanya niulize hili swali maana nadownload sasa nataka niweze kuitranslate ila ndio nashindwa
 
Sauti kuwa maandishi youtube inafanya

Sauti kwa Sauti Skype inafanya

Ila usitegemee kitu perfect ama mteremko, utahitaji muda na dedication ya kutosha.
Hii issue ya sauti kuwa maandishi sometime inaweza kukuchanganya sana.kuna video moja nshawahi kuichek jamaa anatamka neno "IC" ila YouTube wanaandika "I SEE"
 
Ndio maana ni kasema atahitaji muda na dedication ya kutosha Sababu proof reading inabidi iwe ya ukweli, si kazi rahisi kabisa.
 
Back
Top Bottom