Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan mfano video sauti za kingereza ila unataka usikie kiswahili? Kama ni hyo hakuna maana zile sauti uwa wanazitengeneza voice over artists na wanalipqa about $7+ per minutehabari ya mda huu wana jf
kama kichwa kinavyojieleza wadau
hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
Yan mfano video sauti za kingereza ila unataka usikie kiswahili? Kama ni hyo hakuna maana zile sauti uwa wanazitengeneza voice over artists na wanalipqa about $7+ per minute
namaanisha app Kama google translateYan mfano video sauti za kingereza ila unataka usikie kiswahili? Kama ni hyo hakuna maana zile sauti uwa wanazitengeneza voice over artists na wanalipqa about $7+ per minute
hivi naonaga na zile tamthilia za azam kama the city,kulfi,ertugrul naonaga wanaingiza maneno ya kiswahil hivi huwa wanafahamu kiturkish au inakuaje pale.
Zile ni watu halisi wametafsiri, hata kama hawajui kituruki wale wanaopngea kiswahili, kuna mtu anaeandaa script na kuwatafsiria na wao wanaongea.hivi naonaga na zile tamthilia za azam kama the city,kulfi,ertugrul naonaga wanaingiza maneno ya kiswahil hivi huwa wanafahamu kiturkish au inakuaje pale.
Uko sawa kabisa unapewa script, kama hawana wanakupa ya kingereza unatafsiri iwe kwa kiswahiliZile ni watu halisi wametafsiri, hata kama hawajui kituruki wale wanaopngea kiswahili, kuna mtu anaeandaa script na kuwatafsiria na wao wanaongea.
Itafutie subtitle au wasiliana na azam wakupe mzigo 😂Ertugrul ndio imenifanya niulize hili swali maana nadownload sasa nataka niweze kuitranslate ila ndio nashindwa
Hii issue ya sauti kuwa maandishi sometime inaweza kukuchanganya sana.kuna video moja nshawahi kuichek jamaa anatamka neno "IC" ila YouTube wanaandika "I SEE"Sauti kuwa maandishi youtube inafanya
Sauti kwa Sauti Skype inafanya
Ila usitegemee kitu perfect ama mteremko, utahitaji muda na dedication ya kutosha.
Ndio maana ni kasema atahitaji muda na dedication ya kutosha Sababu proof reading inabidi iwe ya ukweli, si kazi rahisi kabisa.Hii issue ya sauti kuwa maandishi sometime inaweza kukuchanganya sana.kuna video moja nshawahi kuichek jamaa anatamka neno "IC" ila YouTube wanaandika "I SEE"