Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

Sozo_

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
776
Reaction score
1,132
Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote.

Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
 
Bado sijapata majibu
 
Kuna kitu inaitwa Mobistok
unanunua na kuuza(ukitaka) pia unapewa kamishen flan kila ukinunua vocha
 
Kuna kitu inaitwa Mobistok
unanunua na kuuza(ukitaka) pia unapewa kamishen flan kila ukinunua vocha
Asante sana, naona hii inafanana na Selcom
 
Sijaijua selcom
ila hiyo haina shida,sijui mmeelewana naye.Kuna hadi nyuzi za hiyo kitu so no magumashi
vipi waweza eleza kidogo juu ya selcom kwa faida ya wengi...
 
Sijaijua selcom
ila hiyo haina shida,sijui mmeelewana naye.Kuna hadi nyuzi za hiyo kitu so no magumashi
vipi waweza eleza kidogo juu ya selcom kwa faida ya wengi...
Watakuunganisha kupitia laini yako ya tigo au halotel, unakuwa na uwezo wa kuuza vocha za mitandao yote, luku, kulipia maji, faini, na malipo ya serikali. Pia unaweza kununua mashine zao.
 
Back
Top Bottom