Watakuunganisha kupitia laini yako ya tigo au halotel, unakuwa na uwezo wa kuuza vocha za mitandao yote, luku, kulipia maji, faini, na malipo ya serikali. Pia unaweza kununua mashine zao.Sijaijua selcom
ila hiyo haina shida,sijui mmeelewana naye.Kuna hadi nyuzi za hiyo kitu so no magumashi
vipi waweza eleza kidogo juu ya selcom kwa faida ya wengi...