Application za kujiunga na vyuo vikuu ni lini kwa walio maliza form six mwaka jana na mwaka juzi?

Application za kujiunga na vyuo vikuu ni lini kwa walio maliza form six mwaka jana na mwaka juzi?

Mdenya blood

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
51
Reaction score
5
Naomba msaada wakuu ivi wanaojiunga na vyuo vikuu mwaka huu 2015 walisha anza application?.

Maana kuna chalii wangu kamaliza form six mwaka juzi na mwaka huu anataka kujiunga na chuo kikuu.Kama bado ni lini wanatakiwa waanze application?.
 
Application zishaanza mkuu....mwezi sasa umekatika toka waanze.....kuna post nying tu humu jukwaani zinaelezea mchakato mzima.
 
Back
Top Bottom