M Mdenya blood Member Joined Apr 27, 2015 Posts 51 Reaction score 5 Jun 10, 2015 #1 Naomba msaada wakuu ivi wanaojiunga na vyuo vikuu mwaka huu 2015 walisha anza application?. Maana kuna chalii wangu kamaliza form six mwaka juzi na mwaka huu anataka kujiunga na chuo kikuu.Kama bado ni lini wanatakiwa waanze application?.
Naomba msaada wakuu ivi wanaojiunga na vyuo vikuu mwaka huu 2015 walisha anza application?. Maana kuna chalii wangu kamaliza form six mwaka juzi na mwaka huu anataka kujiunga na chuo kikuu.Kama bado ni lini wanatakiwa waanze application?.
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jun 10, 2015 #2 Application zishaanza mkuu....mwezi sasa umekatika toka waanze.....kuna post nying tu humu jukwaani zinaelezea mchakato mzima.
Application zishaanza mkuu....mwezi sasa umekatika toka waanze.....kuna post nying tu humu jukwaani zinaelezea mchakato mzima.
TRUETEX Member Joined May 27, 2015 Posts 27 Reaction score 7 Jun 10, 2015 #3 Bofia hapa: Call for Applications for Admission into Higher Education Institutions through the Central Admission System (CAS) for academic year 2015/2016
Bofia hapa: Call for Applications for Admission into Higher Education Institutions through the Central Admission System (CAS) for academic year 2015/2016