Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi.
-My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini, ikumbukwe mikopo hii huwa ni ya siku sita (6)tu, madai huanzia siku ya nne (4) kwa wadada walioandaliwa rasmi kwa ajili ya kutukana matusi ya nguoni bila heshima wala adabu,
Kibaya zaidi hizi application zao, hunyakuwa majina ya simu ya mteja karibu yote na kuanza kupiga simu kwa namba zote zilizopo katika simu tofauti na zile za wadhamini ambao ndiyo uliwaweka kwa dharura zozote,
::Swali,
Je sheria inasemaje juu ya udukuzi usio wa ridhaa katika mawasiliano ya mtu mwingine!
-Kopeni kwa majaribio muyashuhudi matusi makali, pia msisahau kurekodi.