Application za kukopesha za simu, kuhack majina ya simu za mteja bila ruhusa tofauti zile ambazo umewapa kama wadhamini

Dawa ni wa kuwanyoosha
 
Ndio uhuni na utapeli huu na wanajificha makusudi,wanapaswa wa-declare kampuni yao na jina la app ili wabanamishwe vizuri na kushtakiwa pale wanapokosea.
Kinachoendelea kwenye hii mikopo ni uhuni kabisa tena ni ufedheheshaji wa hali ya juu sana.
 
Hawa hata ofisi zao sidhani kama ziko mahali panapojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…