Application za kusoma masters zinaanza lini 2015

Application za kusoma masters zinaanza lini 2015

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
lini naweza kufanya application ya kusoma masters na deadline yake ni lini kwa 2015 UDSM
 
Its better ungeenda chuon kuuliza ama ukaongia website ya udsm kaka ndio ungepata majibu halisi
 
Miaka yote zinaanza mwezi March hadi April mwishoni

pia unaweza kupata admn wakati wowote within the first 2 week during registration ni ada yako tu.
 
Back
Top Bottom