goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Term hii kuna kutuma post kweli? Na kuna sehemu ya ku upload birth certificate online?Jaribu mida ya asubuhi au jioni mchana mambo yanakuwa mengi mimi nlikuwa namuomba mdogo wangu ni wiki nzima ila nimefanikiwa
Mimi demographic nimejaza kila kitu inazunguka tu..sijui nini shidaJaribu mida ya asubuhi au jioni mchana mambo yanakuwa mengi mimi nlikuwa namuombea mdogo wangu ni wiki nzima ila nimefanikiwa
Si wewe tu hata mimi ni wiki ya 3 sasa lakini wapi kilakitu kipo sawa, jamani msaada.Mimi demographic nimejaza kila kitu inazunguka tu..sijui nini shida
1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.Mimi demographic nimejaza kila kitu inazunguka tu..sijui nini shida
1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.Si wewe tu hata mimi ni wiki ya 3 sasa lakini wapi kilakitu kipo sawa, jamani msaada.
Ukijaza umezaliwa Zanzibar, birth verification number haiitajiki..wanaomba uapload tu cheti kilichohakikiwa na "rita* ya huko..kwa mhuri..1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.
2. Kama umekituma wameshakiapprove na kukupa verification number.
3. Bila verification number ya cheti cha kuzaliwa kutoka RITA haivuki kwenda hatua inayofuata.
1. Cheti ni meshatuma RITA na wameverify.1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.
2. Kama umekituma wameshakiapprove na kukupa verification number.
3. Bila verification number ya cheti cha kuzaliwa kutoka RITA haivuki kwenda hatua inayofuata.
Basi hapo itakuwa system yenyewe inakuwa busy sometime endelea kujaribu mara kwa mara1. Cheti ni meshatuma RITA na wameverify.
2. Wame approve na nimepata verification number, na nikiweka wananiletea majina yote sahihi.
Cheti kuupload kinakubali kinatakiwa kiwe kwenye aina ya PDFUkijaza umezaliwa Zanzibar, birth verification number haiitajiki..wanaomba uapload tu cheti kilichohakikiwa na "rita* ya huko..kwa mhuri..
Ila sasa ndio ivyo
Asante, hii stage nimepita..mdhamini ina load..nitajaza tena baada ya mechi..nahisi saiv mtandao waoCheti kuupload kinakubali kinatakiwa kiwe kwenye aina ya PDF
KiongoziViongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
Guarantor umefanya lini? Mimi inazunguka tu...Naombeni kuuliza sehemu ya preview mbona haiji tiki ya kijani
Guarantor niliifanya toka last week haikusumbua kbsGuarantor umefanya lini? Mimi inazunguka tu...