Application za mkopo HESLB

Application za mkopo HESLB

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu.

Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic inaload tu, taarifa hazihifadhiwi.

Kama umeweza umefanyaje?
Msaada tafadhari.
 
Nimekesha usiku kucha ndo imekubali mchana ilikua inanigomea pia Tenga mdah wa usiku itakubali tu mkuu mwaka huu mfumo wao ma IT wamekula pesa za Bure akuna walichokifanya kile kisystem ata akipewa mtoto wa chet Cha IT awezi kukidevelop vile kile ni kichekesho na fedhea kwa nchi
 
Jaribu mida ya asubuhi au jioni mchana mambo yanakuwa mengi mimi nlikuwa namuombea mdogo wangu ni wiki nzima ila nimefanikiwa
 
Mimi demographic nimejaza kila kitu inazunguka tu..sijui nini shida
 
Si wewe tu hata mimi ni wiki ya 3 sasa lakini wapi kilakitu kipo sawa, jamani msaada.
1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.
2. Kama umekituma wameshakiapprove na kukupa verification number.
3. Bila verification number ya cheti cha kuzaliwa kutoka RITA haivuki kwenda hatua inayofuata.
 
Ukijaza umezaliwa Zanzibar, birth verification number haiitajiki..wanaomba uapload tu cheti kilichohakikiwa na "rita* ya huko..kwa mhuri..

Ila sasa ndio ivyo
 
1. Cheti ni meshatuma RITA na wameverify.
2. Wame approve na nimepata verification number, na nikiweka wananiletea majina yote sahihi.
 
Basi hapo itakuwa system yenyewe inakuwa busy sometime endelea kujaribu mara kwa mara
 
Ukijaza umezaliwa Zanzibar, birth verification number haiitajiki..wanaomba uapload tu cheti kilichohakikiwa na "rita* ya huko..kwa mhuri..

Ila sasa ndio ivyo
Cheti kuupload kinakubali kinatakiwa kiwe kwenye aina ya PDF
 
Viongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
 
Asante, hii stage nimepita..mdhamini ina load..nitajaza tena baada ya mechi..nahisi saiv mtandao wao
 
Viongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
Kiongozi
Mimi binafsi sina ujuzi wa hayo masuala ila Kwa akili yangu nikaona nijaribu hii...

Nikaingia google nikaandika "resize pdf file" ikasearch then nikaingia kwenye link mojawapo ....ikanipa option ya kuattach pdf file na iwe size ngapi ya "kb" nikasave then ika resize ,nika download nika attach.
 
Kwahiyo na picha ya passport nayo inatakiwa kuwa pdf? Maana mimi picha ya passport ndio inasumbua sana
 
Back
Top Bottom