Application za mkopo HESLB

Aliyewahi kukutana na changamoto hii msaada alitoboaje apa
 

Attachments

  • Screenshot_20230923-162833.jpg
    48.3 KB · Views: 12
Jaribu mida ya asubuhi au jioni mchana mambo yanakuwa mengi mimi nlikuwa namuombea mdogo wangu ni wiki nzima ila nimefanikiwa
Kuna kijana hyu amesoma shule ya kata rombo mamsera kilimanjaro alipt dv 1 akapangiwa advance bukoba akamliza na 1 yapoint 7 akaomba chuo mwaka jana akashindwa kwenda kutokana na kiwango cha mkop MWAKA KAOMBA TENA IFM KAPAT HADI SASA BADO AJAENDA KWA VILE AJUI ATAPATA MKOPO % NGAPI WAZAZI WAKE HAWANA MSAADA WOWOTE JUU YAKE ANAOMBA EIDHA APATE MKOP ASLIMIA 100 AU SPONSOR WA KUMLIPIA KIASI KITAKACHOBAKI IKIWA HATAPTA MKOP KWA % 100 NITAWEKA DOCUMENT ZAKE KAMA ZITAHITAJIKA AMINA
 
maombi ya mkopo yamekusewa baadhi ya taarifa na yamesha kuwa submitted kuna namna yoyote ya kuweza kurekebisha??
naombeni muongozo wakuu🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…