Application za mkopo HESLB

Application za mkopo HESLB

Kwa mtu atakayekwama atakeyeitaji nimjazie baadhi ya vipengele then aendelee mwenyewe namkalibisha npo free wiki hii siitaji malipo mungu ashanilipa na bando alijawai kukata
Mkuu kipengele cha preliminary information nikiweka document inaload tu nakuzunguka siwezi kusubmit nimebadili browser shida inakua ile ile tangu asubuhi. Naomba niambie nakwama wapi
IMG_20230830_182825.jpg
 
Mkuu kipengele cha preliminary information nikiweka document inaload tu nakuzunguka siwezi kusubmit nimebadili browser shida inakua ile ile tangu asubuhi. Naomba niambie nakwama wapiView attachment 2733795
Mkuu
1. jaribu kudownload Thunder VPN kuboost network speed.
2. jaribu kuingia asubuhi au jioni.
3. Sometime system nahisi inazidiwaga inakua inaload tu
 
Mkuu
1. jaribu kudownload Thunder VPN kuboost network speed.
2. jaribu kuingia asubuhi au jioni.
3. Sometime system nahisi inazidiwaga inakua inaload tu
Sawa ngoja nijaribu maana mwaka huu hali ni tete RITA wametusumbua, bodi ni kichwa kuuma. Ngoja nijaribu kuwasha VPN nitakupa mrejesho
 
Kwa
Sawa ngoja nijaribu maana mwaka huu hali ni tete RITA wametusumbua, bodi ni kichwa kuuma. Ngoja nijaribu kuwasha VPN nitakupa mrejesho
Msaada zaidi kama itaendelea kusumbua usisite kunitafuta Mkuu 0752466957
 
1. Je cheti cha kuzaliwa umeshakituma Rita.
2. Kama umekituma wameshakiapprove na kukupa verification number.
3. Bila verification number ya cheti cha kuzaliwa kutoka RITA haivuki kwenda hatua inayofuata.
Cheti kikiwa certified na RITA, inabid ukachukue hard copy RITA au?
 
Nimetazama hapa kwenye site yao na sijaona hiyo verification number lakini cheti kipo na kimeandikwa certified
Mkuu bonyesha kwenye dashboard ipo upande wa kulia then chagua birth services then itafunguka birth application itaonyesha hiyo birth verification number
 
Mkuu bonyesha kwenye dashboard ipo upande wa kulia then chagua birth services then itafunguka birth application itaonyesha hiyo birth verification number
Na kusize picture unafanyaje mkuu
 
Na kusize picture unafanyaje mkuu
Tafuta App ya kutengeneza passport kwenye playstore ili upate 120px kwa 150px then tafuta app ya image resizer kwa ajili ya kusize iwe 1MB
 
Mtu akiwa hana namba ya nida anaweza kukamilisha process za mkopo au mpaka apate nida kwanza?
 
Viongozi na vipi kuhusu picha jamani, maana picha pia mimi nashindwa kunifanya kuwa MB 1, naweza kuiweka kuwa 120 kwa 150 ila sasa kwenye size ya MB 1 ndio changamoto naomba msaada au application ya kunisaidia kufanya hivyo. Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu viongozi.
Ukifanikiwa nielekeze pia
 
Back
Top Bottom