Application za mkopo HESLB

Application za mkopo HESLB

Demographic jamani mikoa haiload kabisa.
 
Hapo picha inatakiwa kuwa na ukubwa MB 1 na kushika chini

ni kwel inabid iwe na MB1 kushuka chini sasa sijui watu wameshindwa kusoma hapo.weng wanalazimisha iwe na MB 1 wakat hata ikiwa n KB inakua haina shida.ilimrad tu iwe na 120px 150px bas
 
wakuu hivi form ikiwa submitted ndo inakua hivi au inakuaje.
na kama sio hivo basi mtu ambaye yakwakwe iko submitted naomba atume picha yake niweze kujua inakuaje yaan ina kua na muonekano gani.mana hapa nilipo sijui kama ipo submitted aise
IMG_5450.png
 
View attachment 2741734
Ikiwa submitted lazima ieke tiki ya kijani pembeni, ila kwenye preview tiki haina rangi na kwenye attachment ni tiki ya njano

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa ninapata changamoto ya ku-save taarifa za wazazi wa mwanafunzi. Yaani ninajaza taarifa za wazazi, ninapo submit, inazunguka tu bila kufika mwisho.
 
Kwenye education info kama mtu katokea form 4 then 6 then baada ya kuto paform ipasavyo form six akaenda diploma so now pale post after form four inatakiwa nijaze dipoma au advanced
 
Kwenye education info kama mtu katokea form 4 then 6 then baada ya kuto paform ipasavyo form six akaenda diploma so now pale post after form four inatakiwa nijaze dipoma au advanced
Info zingine zinakubali kusevika?.. mi nimekwama demographic info hawaleti mikoa.
 
Back
Top Bottom