Mam ashy, unakosea wewe ingia kwenye website ya NACTE ndiko equivalent wanakopitia na kuna tangazo la namna ya kutuma ile 50,000 kwa m-pesa ili uanze mchakato wa ku-apply. Hupati unachokitafuta kwa sababu unaingia wenye site ambayo siyo yako. Ingia NACTE uone mambo yalivyo vizuri, sisi wengine tayari tumeshamaliza mchakato tunasubiri tu selection. TCU ni kwa ajili ya direct students (Form 6).