application za tcu zitaanza lini?

application za tcu zitaanza lini?

Mam ashy

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
9
Reaction score
3
Wadau mwenzenu nilimaliza diploma mwaka jana,mwaka huu nataka kuendelea na degree sa sijui tcu lini wanaanza kupokea application,naomben mni-update zitakapokua tayari,maana kila nikicheki mtandaon naona sipati ninachoktafta
 
Mam ashy, unakosea wewe ingia kwenye website ya NACTE ndiko equivalent wanakopitia na kuna tangazo la namna ya kutuma ile 50,000 kwa m-pesa ili uanze mchakato wa ku-apply. Hupati unachokitafuta kwa sababu unaingia wenye site ambayo siyo yako. Ingia NACTE uone mambo yalivyo vizuri, sisi wengine tayari tumeshamaliza mchakato tunasubiri tu selection. TCU ni kwa ajili ya direct students (Form 6).

Tuko pamoja!!!
 
Back
Top Bottom