Application za vyuo kupitia TCU zinachukuwa muda gani?

Application za vyuo kupitia TCU zinachukuwa muda gani?

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
Wadau naombeni msaada nilifanya application ya vyuo kupitia tcu sasa mpk saa hv nikiingia kwenye profile yangu nakuta not yet processed kwenye zile coz nilizochagua..
 
jamanii wenye DD mbili 'new grade' wanaruhusiwa kuapply degree tcu manake iyo ni four
 
atleast CCD kwa hiyo sidhani

'For form.6 applicants who completed 2014 the minimum entry qualification is two passes(Two D's) in A-Level with a total of 2.0 points(Under the New Grading System)--tcu Saa manake nn? kwa hyo hata DDE anaweza
 
Muda bado hadi tar 31/8/2014. Ndio maana bado unaruhusiwa ku-edit ulichoandika. Vyuo vyote vitafungua October, so the selected candidates will be announced somewhere September.
 
Angalia points zinazotakiwa katika faculty unayoapply
'For form.6 applicants who completed 2014 the minimum entry qualification is two passes(Two D's) in A-Level with a total of 2.0 points(Under the New Grading System)--tcu Saa manake nn? kwa hyo hata DDE anaweza
 
Madogo mmeshaanza sasa, ndio kwanza mwezi wa 8 mnataka kwenda wap? wakati kaka zenu wengine hata tarehe za supp hawajajua ni lini, matokea hapa mpaka mwezi wa9 atleast, kwa sababu vyuo vengine wanafungua mwez wa 10, e.g my chuo ardhi universit, tulizeni mizuka mtachoka wenyewe huko chuoni, anza kutafuta pesa tu za life without bum, maana c unajua hampat hela wiki ya kwanza unaweza kukuta mwezi au zaidi, so weka akiba.
 
Muda bado hadi tar 31/8/2014. Ndio maana bado unaruhusiwa ku-edit ulichoandika. Vyuo vyote vitafungua October, so the selected candidates will be announced somewhere September.

ila ku-edit sio inshu unaweza ukajikuta unakosa nafasi
 
Kwani kama umejaza coz zote tano na zote una vigezo, bado unaweza kukosa nafasi?

Kama una vigezo kabisa huwezi kukosa chuo may be upangiwe chuo tofaut na ulichoomba na hii inategemea na competition ilivyo kwenye hiyo course uliyoomba
 
Law UDSM haina competition kabisa sababu wengi inaonekana wanaikimbia but mostly sababu halisi sijui ni uoga wa nini.
 
Back
Top Bottom