Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Dec 19, 2013 #1 apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi minne toka sasa,more news;-NewsNow: Loading story...
apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi minne toka sasa,more news;-NewsNow: Loading story...
Bornvilla JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 924 Reaction score 271 Dec 20, 2013 #2 Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Dec 20, 2013 #3 Bornvilla said: Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India. Click to expand... hapana mkuu ila ukizidiwa utaenda tu india hapa ni kama mapokezi vile..
Bornvilla said: Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India. Click to expand... hapana mkuu ila ukizidiwa utaenda tu india hapa ni kama mapokezi vile..
foshizzle JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 374 Reaction score 151 Dec 20, 2013 #4 Kuna hospital ya appolo naiona pale kisutu. Au ndo hiyo?
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Dec 20, 2013 #5 Itakuwa vizuri sana