appolo hospital in tanzania

appolo hospital in tanzania

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi minne toka sasa,more news;-NewsNow: Loading story...
 
Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India.
 
Kuna hospital ya appolo naiona pale kisutu. Au ndo hiyo?
 
Back
Top Bottom