MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hakika, hawa members ni watu wanaostahili kushukuriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯🤝Ukizingatia hapa hata hatujuani unaanzaje kumkasirikia mtu 😄
Ishi sana mwaneturaraa reree Extrovert pamoja sana wanetu 👊 mleta uzi hata hajatia chumvi hamna baya na mtu
Asante mkuuIshi sana mwanetu
Hahahaaa..... kwako raraa rereeExtrovert mwanangu sana hana baya anytime akipata nafasi aje MTWARA masasi kula bia... Huyu raraa reree ana hali nzuri ya maisha namfananisha Na miladi ayo shenzii..Niko moto bar hapa Lindi Nina laki ya kunywa
Hali nzuri wapi ndugu yangu jobless tu hapa 😃Extrovert mwanangu sana hana baya anytime akipata nafasi aje MTWARA masasi kula bia... Huyu raraa reree ana hali nzuri ya maisha namfananisha Na miladi ayo shenzii..Niko moto bar hapa Lindi Nina laki ya kunywa
Unafikiii
Huwajui wabongo wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha .....Nilitegemea mstari wa mwisho ungesema, nawapatia 50,000 angalau wapate maji baridi.
Nb: ibada bila sadaka ni batili
Kuna nini mkuu
Huwa Nashangaa kwann mods Huwa wanampiga ban mara Kwa mara[emoji4]Extrovert, huyu mwana hana nouma kweli.
Bia za KIBO tamuExtrovert mwanangu sana hana baya anytime akipata nafasi aje MTWARA masasi kula bia... Huyu raraa reree ana hali nzuri ya maisha namfananisha Na miladi ayo shenzii..Niko moto bar hapa Lindi Nina laki ya kunywa