Apps za kutuma pesa

Apps za kutuma pesa

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
 
Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tz
Watu mnajazana maujinga na mauongo. Kila mara mimi napokea pesa paypal (Ila paypal yangu iko registred kenya maana tz paypal haipokea pesa toka miaka hiyooo) na world remit na sendwave kama kawaida tena kwenye simu.
 
Iyo world remit unaweza kuitumia kupokea au kutuma pesa ndani ya africa mashariki ?
Je unaitumiaje ?
 
Hapana mtumaji anabidi awe nje ya africa. Tumia chipper inafanya kazi afrika mashariki, na ghana ila unaiconnect na mobile wallet
 
Iyo chipper , vipi kuhusu gharama ? Je haina mlolongo ?
 
Back
Top Bottom