Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Habari
Nime download apps kwenye play store yangu ambayo ina test kama u HIV positive or negative. Nikaona nikipata mchepuko we test before the game.
Issue ya msingi ninayo omba kufahamu inawezekana kupima ukimwi bila kutoa damu?
Asante
sina imani nazo mimi nilidownload app ya kuchek blood group inanipa majibu matatu tofauti kila nimipima wakati group lang nalifahamu ila yenyewe inadanganya
toa jina la hio app basi au mbwembwe tu hizo...isije ikawa umeota kuna application kama hio
Kwani huo mkono wako unaogusa nao hiyo simu hauna damu?
Hebu nitajie jina la hiyo App nitest na mie.
Nimejaribu kupima na mara ya kwanza ikatoa jibu kuwa niko safi. Niliporudia ikaona wadudu wengi. Nikaweka dole tena hakuna. Ikabidi niitoe haraka sana.
Hata mimi inanifanyia hivyo hivyo mkuu!!