Apps zinazo test HIV kwa gusa screen

Habari
Nime download apps kwenye play store yangu ambayo ina test kama u HIV positive or negative. Nikaona nikipata mchepuko we test before the game.
Issue ya msingi ninayo omba kufahamu inawezekana kupima ukimwi bila kutoa damu?
Asante

Kwa hakika hizi sim za kufuta zime waharibu sana vijana wa kizazi cha leo aiseeee.......
 
Mi imeniambia no virus, ukisoma maelezo yake ukiambiambiwa upo positive nenda hospital kuprove
 
Mhuuu inasema et no virus found
Kwamba ninao au

😂😂😂😂😂😂
 
Habari
Nime download apps kwenye play store yangu ambayo ina test kama u HIV positive or negative. Nikaona nikipata mchepuko we test before the game.
Issue ya msingi ninayo omba kufahamu inawezekana kupima ukimwi bila kutoa damu?
Asante
Mkuu hakika sumu haijaribiwi kwa kuionja? Careful man
 
Mkuu Mimi nimedownload ya app ya Neck ili kujua nani ataibuka mshindi uchaguzi ujao yaaani hadi rahaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Du :what:
Mkuu hiyo ingekuwa NEC ningekuelewa....lakini 'Neck' πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna application pia ya kugundua kama mtu yupo Single, Married, Divorced, Widow, Just from doing sex, au in a fake relationship. Haidanganyi.
 
Hahaha..haiwezekani kupima ukimwi bila damu..pia unajitaji preparation kidogo na reagents ili kudetect HIV antibody
 
ha ha ha hizo ni prank apps!! nimedownload moja kidole cha mkono wa kushoto kinatoa majibu ya no virus found but cha kulia kinasema 1.3 virus found.......nikachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…