Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.

Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa kufukua mapema asubuhi.

Wanachuo wanashinda humo
Screenshot_2023-08-26-09-43-38-98_0b220821f310a9cc22e9def9d32cbfd4.jpg
Screenshot_2023-08-26-09-43-10-60_0b220821f310a9cc22e9def9d32cbfd4.jpg
 
Hawana huo uwezo.
Waupate wapi uwezo huo?

Mifumo ya TRA na TPA (bandari) wamesema haisomani, wamekiri imewashinda, Rais kakubali.

IT Systems za kwao wenyewe, za hapa hapa Bongo, wametangaza zimewashinda.

Sembuse ma IT Systems na ma ma VPN yako kwenye server Ulaya, Japan huko, uzifungie, wewe m-bongo, kichwa fyongo, unaanzia wapi?
 
Waupate wapi uwezo huo?

Mifumo ya TRA na bandari wamesema haisomani, wamekiri imewashinda.

IT Systems za kwenu, za hapa hapa Bongo, wametangaza zimewashinda.

Sembuse kufungia ma app na ma VPN yako kwenye server ma Ulaya huko ?
Hata China, USA kote huko watu wanatumia VPN ku bypass/access internet especially websites au apps zilizofungiwa, IT vichwa panzi bongo hapa hawana huo uwezo.
 
Back
Top Bottom