Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Apps zinazohamasisha ushoga zifungiwe

Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.

Iliingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo na unapata wa kufukua mapema asubuhi.

Wanachuo wanashinda humo
Wewe ulizijuaje? Ujue hauwwezi kuletewa kitu ambcho huko interested nacho?
 
Maeneonkaribu na Vyuoni...kurasini, Chang'ombe, Kigamboni, Sinza/Kijitonyama, Survey, Changanyiken, Dodoma (Kisasa),. Mwanza (Malimbe/Nyegezi), Morogoro (Msamvu), Mzumbe, n.k Ni mwendo wa ku-request tu
Aisee hebu nifundisheni vijana nami nijipakulie mmoja
 
Sasa kama mmeruhusu waarabu waje tz,naona vijana wameua kuchangamkia fursa,mana wanasemaga mabasha ya kiarabu yanatoa pesa ndefu.
 
Waupate wapi uwezo huo?

Mifumo ya TRA na bandari wamesema haisomani, wamekiri imewashinda.

IT Systems za kwenu, za hapa hapa Bongo, wametangaza zimewashinda.

Sembuse kufungia ma app na ma VPN yako kwenye server ma Ulaya huko ?
Habari ya mifumo isiyosomana ni chochote za watu za kumwona,kama sio zingeweza Somanga na kudhibitiwa ipasavyo🤔
 
Back
Top Bottom