APR Imehujumiwa. Tukitaka kuendelea kisoka, Watanzania tuache hizi tabia

Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao

Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.
Hakuna timu inayoitwa singida big stars huko mapinduzi cup utopolo mkubwa wewe
 
Waliohujumiw APR Sasa Simba wanaingiaje, mkiambiwa wenye akili ni wawili mnabisha.
Aragija alifanya madudu mengi Ila kwa sababu mlishinda mliona sawa. Ndio maana marefa wenu wanaishia hapa, tusubiri var ifungwe tupate mabingwa wa halali.
 
Msijisahaulishe kwa kuwalaumu waamuzi Zanzibar au Mlandege, Simba ilichukua Ngao ya Jamii kwa dhulma ya makosa ya Marefa.
Mechi zote Tangu ya kwanza mpaka ya mwisho katika Ngao ya Jamii kulikua na makosa ya ki maamuzi yaliyo ibeba Simba.

Mechi ya Simba na Yanga katika Ngao ya Jamii ilikua karibu ifanane na ya Apr na Mlandege na Yenyewe Simba walizidiwa kiuchezaji afadhali ya Mlandege.

Katika Ile mechi ya Ngao Yanga walifunga goli mbili na zote zilikataliwa kwa Offside za mchongo.

Bado kwenye penalty Simba ikafaidika na mbeleko za waanuzi.
Michuano Ile ikapelekea mwamuzi Tatu Malogo na kipa wa Simba Ally Salim kuonekana maarufu kwa mchezo usio wa haki katika soka.
Mpaka Leo Simba wanashangilia kwa Ngao Ile ambayo ukitazama hawakustahili ata kufika fainali sibora ata Mlandege wame Bebwa mechi Moja.
Nawashauri muwe na Akiba ya maneno kabla ya kuwashutumu Mlandege.
 
Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.

Mbaya sana Mpira wa Africa.

APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.

Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali tunadumaza soka. Najiuliza kwa nini soka la ZNZ halikui pamoja kuwa ZNZ inavipaji sana kama vile the finest Zanzibar , Fei Salim Feisal toto aka Macho Ozil.

Nadhan ZNZ walikusudia lazima timu moja from zanjiberi ifike fainali which is bad kwa kulazimisha.

Kocha wa APR pia amekiri kwenye TV vyombo vya habari kuwa Mlandege imeshinda madhuluma.

Sisi, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo

Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao

Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.

Singida kuweni makini makolo wanahonga sana waamuzi, pia kuweni makini na sehemu za kubadili nguo
Yanga mmecha mashindano au mmeachishwa?
 
Yanga ilibebwa ngao ya jamii mwaka jana na mmama mmoja mwenye sura ngumu hivi..ingekuwa sio mikwaju penati Kipa Salum akadaka, Simba sc wasingetoboa..niwashezi mno na bila Tff kuwachukilia hatua sereous watauwa soko la Tanzania
 
Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.

Mbaya sana Mpira wa Africa.

APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.

Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali tunadumaza soka. Najiuliza kwa nini soka la ZNZ halikui pamoja kuwa ZNZ inavipaji sana kama vile the finest Zanzibar , Fei Salim Feisal toto aka Macho Ozil.

Nadhan ZNZ walikusudia lazima timu moja from zanjiberi ifike fainali which is bad kwa kulazimisha.

Kocha wa APR pia amekiri kwenye TV vyombo vya habari kuwa Mlandege imeshinda madhuluma.

Sisi, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo

Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao

Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.

Singida kuweni makini makolo wanahonga sana waamuzi, pia kuweni makini na sehemu za kubadili nguo
Kinachowasumbua Yanga ni kwamba pira linapigwa kule Zenji halafu wenyewe wanaangalia kwenye tv!
 
Msijisahaulishe kwa kuwalaumu waamuzi Zanzibar au Mlandege, Simba ilichukua Ngao ya Jamii kwa dhulma ya makosa ya Marefa.
Mechi zote Tangu ya kwanza mpaka ya mwisho katika Ngao ya Jamii kulikua na makosa ya ki maamuzi yaliyo ibeba Simba.

Mechi ya Simba na Yanga katika Ngao ya Jamii ilikua karibu ifanane na ya Apr na Mlandege na Yenyewe Simba walizidiwa kiuchezaji afadhali ya Mlandege.

Katika Ile mechi ya Ngao Yanga walifunga goli mbili na zote zilikataliwa kwa Offside za mchongo.

Bado kwenye penalty Simba ikafaidika na mbeleko za waanuzi.
Michuano Ile ikapelekea mwamuzi Tatu Malogo na kipa wa Simba Ally Salim kuonekana maarufu kwa mchezo usio wa haki katika soka.
Mpaka Leo Simba wanashangilia kwa Ngao Ile ambayo ukitazama hawakustahili ata kufika fainali sibora ata Mlandege wame Bebwa mechi Moja.
Nawashauri muwe na Akiba ya maneno kabla ya kuwashutumu Mlandege.
Wewe utakuwa mtoto wa Kambo sio kwa malalamiko hayo.
 
Ushabiki wa kipuuzi nao ni janga pia.

Nani hakuona hujuma za mechi za yanga, yanga pia alibebwa mno ila hakubebeka.

Zile goli za APR bahati nzuri kwao zilikua clear goals, no offsides, no fauls yaani hazikua na makandokando.

Na kibaya zaidi ni kua yanga hakua anafika kiusahihi golini kwa mpinzani kama angekua anafika na wachezaji wangetumia ujanja kidogo tu wangepewa tuta hata 2 ili wapite na finali iwe simba na yanga.

Kwa jinsi michuano ilivyo ni kua waandaji wana timu zao.

Kesho simba njia nyeupe kabisa, SFG wajitahidi washinde magoli sahihi yasiyo na makandokando hata punje la ivyo offsides na fauls kwenye kila attempt ya goli zitatamalaki.
 
Nadhan kama wanataka kweli hi michuano iwe meaningful, wanatakiwa ku outsource unaffiliated waamuzi wa mchezo kutoka nje ya nchi especially when it comes to robo finals na semi na final

Otherwise nchi kama APR hawatokuja

And why hawaweki VAR

ndio maana sisi Yanga tulistuka mapema hii michiano ni kupoteza nguvu za players wetu

Tulikuwa tunajilazimisha hata kushinda

Yan we were not into it

Injinia ndio aliongea na kocha kuwa kuna haja ya kurud dar wachezaji wakapumzike…..

tumesha wajaribu. Ndio maana tukajitoa na the following morning tuliondoka ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom