Hakuna timu inayoitwa singida big stars huko mapinduzi cup utopolo mkubwa wewePamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao
Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.
Mbona sasa Yanga ilishatolewa mwakarobo, Imani ya wapi tena?Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.
Yanga mmecha mashindano au mmeachishwa?Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.
Mbaya sana Mpira wa Africa.
APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.
Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali tunadumaza soka. Najiuliza kwa nini soka la ZNZ halikui pamoja kuwa ZNZ inavipaji sana kama vile the finest Zanzibar , Fei Salim Feisal toto aka Macho Ozil.
Nadhan ZNZ walikusudia lazima timu moja from zanjiberi ifike fainali which is bad kwa kulazimisha.
Kocha wa APR pia amekiri kwenye TV vyombo vya habari kuwa Mlandege imeshinda madhuluma.
Sisi, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo
Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao
Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.
Singida kuweni makini makolo wanahonga sana waamuzi, pia kuweni makini na sehemu za kubadili nguo
Kinachowasumbua Yanga ni kwamba pira linapigwa kule Zenji halafu wenyewe wanaangalia kwenye tv!Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.
Mbaya sana Mpira wa Africa.
APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.
Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali tunadumaza soka. Najiuliza kwa nini soka la ZNZ halikui pamoja kuwa ZNZ inavipaji sana kama vile the finest Zanzibar , Fei Salim Feisal toto aka Macho Ozil.
Nadhan ZNZ walikusudia lazima timu moja from zanjiberi ifike fainali which is bad kwa kulazimisha.
Kocha wa APR pia amekiri kwenye TV vyombo vya habari kuwa Mlandege imeshinda madhuluma.
Sisi, Dar Young Africans. tuliona mapema haya ndio maana TUMEWAACHIA. Lakini hakuna timu inatuweza hapo hata moja na wote mnajua hilo
Pamoja na yote, ninaiombea SINGIDA BIG STARS kesho wawe na siku nzuri ili hawa wawashamoto kesho ndio iwe mwisho wao
Imani Yangu ipo kwa Yanga na Singida Big Stars kesho.
Singida kuweni makini makolo wanahonga sana waamuzi, pia kuweni makini na sehemu za kubadili nguo
Wewe utakuwa mtoto wa Kambo sio kwa malalamiko hayo.Msijisahaulishe kwa kuwalaumu waamuzi Zanzibar au Mlandege, Simba ilichukua Ngao ya Jamii kwa dhulma ya makosa ya Marefa.
Mechi zote Tangu ya kwanza mpaka ya mwisho katika Ngao ya Jamii kulikua na makosa ya ki maamuzi yaliyo ibeba Simba.
Mechi ya Simba na Yanga katika Ngao ya Jamii ilikua karibu ifanane na ya Apr na Mlandege na Yenyewe Simba walizidiwa kiuchezaji afadhali ya Mlandege.
Katika Ile mechi ya Ngao Yanga walifunga goli mbili na zote zilikataliwa kwa Offside za mchongo.
Bado kwenye penalty Simba ikafaidika na mbeleko za waanuzi.
Michuano Ile ikapelekea mwamuzi Tatu Malogo na kipa wa Simba Ally Salim kuonekana maarufu kwa mchezo usio wa haki katika soka.
Mpaka Leo Simba wanashangilia kwa Ngao Ile ambayo ukitazama hawakustahili ata kufika fainali sibora ata Mlandege wame Bebwa mechi Moja.
Nawashauri muwe na Akiba ya maneno kabla ya kuwashutumu Mlandege.
Hawa watu unadhani wanatumia nini kufikiri?Eti mmewaachia [emoji3][emoji3][emoji3] utopolo bana.
Ushabiki wa kipuuzi nao ni janga pia.
Nani hakuona hujuma za mechi za yanga, yanga pia alibebwa mno ila hakubebeka.
Zile goli za APR bahati nzuri kwao zilikua clear goals, no offsides, no fauls yaani hazikua na makandokando.
Na kibaya zaidi ni kua yanga hakua anafika kiusahihi golini kwa mpinzani kama angekua anafika na wachezaji wangetumia ujanja kidogo tu wangepewa tuta hata 2 ili wapite na finali iwe simba na yanga.
Kwa jinsi michuano ilivyo ni kua waandaji wana timu zao.
Kesho simba njia nyeupe kabisa, SFG wajitahidi washinde magoli sahihi yasiyo na makandokando hata punje la ivyo offsides na fauls kwenye kila attempt ya goli zitatamalaki.
Kwaiyo zile tatu mlizopigwa mmeonewa?Tumeacha