Ajali tuu? au uzembe? Watu wanajisahau katika mambo makubwa na madhara yanatokea kisha sisi tunahalalisha kuwa ni ajali tuu!
Mkuu wa kaya yuko wapi?
gt huwa unavuta?
Atakuwa sehemu sehemu anakula bata!
Mkuu, kwani chazo kimeshajulikana?
Jamani TUMEPIGIWA SIMU MARA TATU NA WIZARA KUEVACUATE: naondoka now sooon online wakubwa.
Nadhani analipepa🙂Mkulu alikuwa Arusha jana usiku!sijui kama kesharudi inawezekana alikutana na Lowassa na Masha,si wote nao walikuwa huko...walikuwa Ngurdoto
GT huwa unavuta?
Hapa lazima watu wawajibike haraka sana kuanzia waziri, naibu wake, mkuu wa majeshi, mkuu wa base ya mbagala na askari wote wa kituo hicho. Inatia hasira kwa uzembe huu uliotokea na kugharimu maisha ya watu, mali zao nk. Hivi JK upo wapi? mbona hutangazi hali ya hatari?
Hatutaki kusikia eti mnaunda tume kuchunguza mlipuko huu zaidi ya kuwawajibisha wote waliohusika. Wadanganyika tumechoka na ubabaishaji! na tume zisizoisha. Mheshimiwa JK angalia au iga wakubwa wenzio wanavyo-act immeadiatealy pindi janga kubwa linapotokea.
Angalia mfanao wa swine flu ilipotokea tu UK, USA na kwingineko wakuu wa nchi hizo haraka sana walienda kwenye media na kuelimisha umma. Huu sio wakati wa akina Nchimbi kuongea kwenye media zaidi ya kujiuzulu na kutoa maelezo kwa wadanganyika.
Chanzo gani tena unataka kuona?
Mabomu hayawezi kujilipua yenyewe. Huu ni uzembe wa mtu mmoja kashindwa kufanya kazi yake kwa makini. Na viongozi wanaosimamia hawa watu wameshindwa kuakikisha hawa watu wanafanya kazi zao kwa makini.
Hatutaki tume wala report, Tunataka kuona action kutoka kwa Rais Kikwete,
Hawa viongozi LAZIMA WAJIUZULI ILI IWE FUNDISHO NA WANAOKUJA WAWE MAKINI NA KAZI ZAO
WE ARE TALKING ABOUT PEOPLES LIVES HERE
Mkulu alikuwa Arusha jana usiku!sijui kama kesharudi inawezekana alikutana na Lowassa na Masha,si wote nao walikuwa huko...walikuwa Ngurdoto
GT huwa unavuta?
"y..sasa na baridi hii..we !!..wapambe wakamgongee mlango"
sijakuelwa...ahhh mimi naona everything is fine rambi rambi kwa waliokumbwa na balaa huko mbagala lakini sie huku mjini naona watu washapata nafasi ya kuchomoka kwenda kwenye mambo yao mengine
wengine ndio tumerudi jf kukamua ma kawaida
sasa vipi kuhusu ule mjadala wa cag?