Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Sijamwona Slaa na Lisu. Au nao wamehamia CCM.
 
Ndio kazi iliyobaki, il I ushinde siasa lazima uwe na ralimali fedha. Huwezi kupigana vita bila Pesa na ukashinda. A cha watafute pesa
 
Lizaboni tueleze hizi habari ulikuwa unazipata wapi,lazima utakuwa kigogo hapo lumumba
 
 
Vipi Kamanda, hii thread unaisemaje kwa hali ya sasa?
 
hahahahahahahhahahhhah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…