Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Huwa sipendi habari zako nyingi. Ila hii hata mimi nakusifu maana huyu jamaa ni maarufu sana ila ni leo nimemuona.

Nimejaribu kumgoogle mara kibao, anatokea mtoto wake tu. Hongera kwa hii piha ambayo nafikiri hakutegemea.

Kuwa tu mwangalifu asije akakuona na Mafia ya CCM wakakutangaza kama WANTED ONLY DEAD.

Huyo huyo! Nipe tano
 
binafsi siwezi kukupuuza mkuu. kama chadema ama ukawa watamruhusu lowasa kugombea urais huo utakuwa mwisho wa ukawa/ chadema.ukawa/ chadema wasijidanganye kwa hili. lowasa ni mchafu aende popote pale atabaki hivo.
 
Chadema ikimpokea Lowassa ntaifutilia mbali kutoka Kwenye hifadhi ya moyo wangu.

hata mimi mkuu. na nitashawishi na wenzangu kukiogopa kama ukoma. lowasa ni mchafu tu kwenye chama chochote atakachoenda.
 
Ona jinsi Mbowe anavyopiga dili za hela kupitia chama cha mkwewe. Halafu haya ma ubongo sifuri, Bavicha yanalia humu kuwa hicho Chagadema kitawakomboa. Mungu akunyime vyote akupe walau chembe moja tu ya akili

mkuu hizi bado ni tetesi na tunazifuatilia kwa umakini wake. ikitokea lowasa akapokelewa na cdm ndo mwisho wa hicho chama...
 
Nafikiri Zitto sasa hivi ana salivate kama angekuwa kwenye nafasi ya Mbowe hilo deal asingelitema!
 
siku Lowassa akiingia CDM basi ndo siku CCM wataanika madudu yake na atafunguliwa mashtaka kwa makosa yake ya ubadhilifu wa fedha na Richmond...na chadema ndo utakuwa mwisho wao kisiasa....
 
Nafikiri Zitto sasa hivi ana salivate kama angekuwa kwenye nafasi ya Mbowe hilo deal asingelitema!
Hakika. Kwa tamaa ya Zitto mbele ya Ten Bilions, hahahahahaaaaaaa. Hata huyo Mbowe hawezimkutema deal hilo
 
Hili likitokea nita confirm kwamba wengi wanai gia kwenye siasa kwa ajili ya kuganga njaa tu
 
Huu ufisadi mnaousemaga kuhusu lowasa ni UPI?. Kama ni ule wa Richmond .ile report ya mwakyembe kuna sehemu inasema" jina moja tumeliifadhi kwa maslahi ya taifa".

wewe. nahisi umezaliwa miaka ya 90. hujui ufisadi wa lowasa. hata habari ya richmond tu pekee. hajawahi hata siku moja kujitokeza na akakanusha. ENDELEA TU BOS NA SAFARII YA MATUMAINI. SISI TUNAENDELEA NA SAFARI YA KUELEKEA IKULU.
 
Habari zipi hizo...mpuuzi mkubwa wewe ! Jitu zima, umekaa kutunga uongo !.

Nashindwa kuelewa kwa nini Mods hawajakushughulikia....

Mkuu, hata nilipoweka habari kama hizi hapo awali mlibeza ila mwisho wake mkanipigia saluti
 
Huu ni wakati wa kusikia mambo mengi sana ila mwisho wa siku hakuna jipya litakalotokea maana kama Lowassa kapigwa chini huko kwenye chama cha aistegemee kutoka kwenye muungano wa vyama hivi vinne labda amtafute ZZK na chama chake ACT.
 
Ushahidi gani unauhitaji zaidi ya huu niliokupa? Subiri mkakati utimie

Hakuna kitu kama hicho ... Lowasa atakuwa tayari kisha pigwa mkwara wa nguvu na CCM!! He knows what would happen if he makes such a move. This is CCM!!
 
Back
Top Bottom