Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
UKAWA wana hali mbaya wana tafuta mbereko ya LowasaHapo walipo mate yanawadondola. Wanasubiri lini atatangaza kuhamia chadema japo Lissu ameshaweka msimamo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA wana hali mbaya wana tafuta mbereko ya LowasaHapo walipo mate yanawadondola. Wanasubiri lini atatangaza kuhamia chadema japo Lissu ameshaweka msimamo wake
kwenye hili upo sahihi wafanyabiasharaWote ni wafadhili wa Lowasa. Kuhusu kambi hilo sijui. Kumbuka hata Mengi alikuwa na mgogoro na Rostam ila kwa sasa wapi pamoja kwa sababu ya Lowasa
Ati jamaa kayitafutia na kapicha ka mwaka juzi katuwekea . Ha ha ha
LOWASA YUPO KWENYE LIST YA MUEMBE YANGA akija ukawa mimi nahambaNazidi kumkubali lowassa..hamia ukawa baba tutakupigia kura!
Ushahidi gani unauhitaji zaidi ya huu niliokupa? Subiri mkakati utimie
Mkuu Liz hatukatai hoja ila weka zenye uhakika siyo za kusikiasikia tu juu juu unaleta humu.Haya mgosi. Hoja ndo hiyo niliyoleta. Sina jingine. Nikipata nakuja fasta
Manji na Machache meza moja teh teh ...... Lizabon bwana