Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekudharau sana Lizaboni kwa kuihusisha CHADEMA na Mwivi Lowasa
Nimekudharau sana Lizaboni kwa kuihusisha CHADEMA na Mwivi Lowasa
Tena huko ni rahisi zaidi.Alaaaa kumbeeee! Kwa hiyo watanimamata huku Songea wanipeleke huko Mabwepande? Kwani huku Songea hakuna misitu?
Kwa tetesi anazomwaga huyu Lizaboni humu ndani,wengekuwa walishamdaka siku nyingi.
Binafsi naelekea kujiaminisha kuwa huyu Lizaboni ni taasisi, wanajua wanachokifanya.!
Na huu ni mambano wa Tiss waliostaafu na walio kwenye system.
Duh! Mkuu. Kwani unamjua vema Apson?
Sasa ndio ulete uongo wako humu!? kama huna hoja kaa kimyaMkuu, mchakato umeisha ndani ya chama ila kitaifa unaendelea. Mapambano yanaendelea
Mkuu bora na wewe umelitambua hilo, huyu Lizaboni ni mtandao unaojua unachokifanya.I won't underestimate this guy no more.. Huyu ni puppet. Ukifuatilia habari zake zote alizoleta humu ni za kweli.. Huyu jamaa ili kupoteza watu maboya anajifanya yupo Songea..
Mwanzoni alikuwa anamsupport Membe, ghafla akahama akaanza kumnadi Magufuli just from no where. Na kweli yametimia
Mkuu bora na wewe umelitambua hilo, huyu Lizaboni ni mtandao unaojua unachokifanya.
Humu JF wameweka ni sehemu ya kuwahabarisha team Lowasa kuwa wanajua wanachokifanya kwa uchache tu , na sitashangaa kuwa huyu Lizaboni ni team Lowasa ila ya kwa kazi maalumu.
Lazima tujue lowassa anapambana Amiri jeshi mkuu ,kwa maana ya vyombo vyote vya Usalama ....!
Kwikwikwikwiiiiiiii. Haya bana. Hayo ya kampuni siyajui. Ila ukweli huwa naleta taarifa za kweli. Sijui kupika majunguJamani tusimu underestimate Lizaboni.. Mara zote alikuwa analeta habari ambazo baadae tulikuja kuziprove ni za kweli.. Siku zote alikuwa anasema Magufuli ndio atapeperusha bendera na kweli imekuwa..
Don't underestimate this guy.. Hayuko Songea kama mnavyodhani, yawezekana ni puppet wa kampuni nyeti
Kwa vile Lowasa ameshindwa sasa Apson hana uhuru wa kuendelea na maisha yake binafsi!!?? Tuwekee ushahidi kuwa alikuwa hapo kuomba pesa!!!