idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibarua chake kimeota nyasi baada ya Lowasa kushindwa. Nasikia wamenyang'anywa vitendea kaziLizaboni, swahiba yako Laki Si Pesa yu wapi akupokee kijiti?
Kibarua chake kimeota nyasi baada ya Lowasa kushindwa. Nasikia wamenyang'anywa vitendea kazi
eboo!!!nimemwambia aache uchonganishi...chadema sio ccm
Hapana Mkuu. Mie nipo huku Lizaboni Songea mtaa wa Kibulang'oma nyuma ya TANESCO. Shughuli zangu nafanyia hapa Soko Kuu Songea. Ulizia kwa jina la Lizaboni utanipata. Najishughulisha na uuzaji wa vifaa vya electronicKwa tetesi anazomwaga huyu Lizaboni humu ndani,wengekuwa walishamdaka siku nyingi.
Binafsi naelekea kujiaminisha kuwa huyu Lizaboni ni taasisi, wanajua wanachokifanya.!
Kibarua chake kimeota nyasi baada ya Lowasa kushindwa. Nasikia wamenyang'anywa vitendea kazi
Mkuu, kama wewe unaona kuwa huu ni uzushi, kuna wengine wapo serious wanafanyia kazi. Endelea kuamini kuwa huu ni uzushiLizabon unajua ukiwa unaandika vitu humu ndani make sure it real n u have evidence of that.. usije ukalalamika wakikuweka kwenye kumi na 18.. ebu elezea ufisadi wa unaye mtaja kila siku.. ebu kuwa reasonable... tuache uzushi na mambo Kama una la kuongea keep silent
Hivi huyu Apson mbona anahaha sana. Hii ni hatari sana. Anapaswa kupumzika sasa. Siasa haziwezi
Haya mkuu umekumbusha mitaa yangu, ruhuwiko,matalawe,mfaranyaki, manzese,majengo na kule ng'ambo kwa wayao bila kusahau mitaa Buhemba.Hapana Mkuu. Mie nipo huku Lizaboni Songea mtaa wa Kibulang'oma nyuma ya TANESCO. Shughuli zangu nafanyia hapa Soko Kuu Songea. Ulizia kwa jina la Lizaboni utanipata. Najishughulisha na uuzaji wa vifaa vya electronic
Hahahahahaaaaaaa! Pole sana Mkuu. Hakuna anayetishwa na hizo ngonjera zako