Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Elections 2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

Haya mkuu umekumbusha mitaa yangu, ruhuwiko,matalawe,mfaranyaki, manzese,majengo na kule ng'ambo kwa wayao bila kusahau mitaa Buhemba.
Hahahahahaaaaaa! Umenikumbusha mitaa ya Manzese unapopigwa ulabu wa kienyeji. Baada ya aliyekuwa Mkuu w Mkoa wa wakati ule Said Kalembo kupaboresha, wakapaita Kalembo Bar. Hakika ni sehemu ambapo ukijichanganya utapata mambo mengi sana na utaexperience maisha ya watanzania wengi. Huwa naendaga mara moja moja kuongea na wnanchi
 
sawa bt mm nimekwambia tu mkuu ucdhan mod wa jf watakuwapo huko au unataka mpaka wakutajie ip yako? mkuu
Mkuu, kumbe hao mods wa JF ndo mnawatumia? Haya mimi nipo tayari akupe taarifa zangu
 
Mkuu Lizaboni simu yako uluweka uzuri na inaonekana ulikuwa na haraka kuchukua hio picha.

Vipi Jimmy alikuwepo au yupo busy na mambo mengine?
 
Mkuu Lizaboni simu yako uluweka uzuri na inaonekana ulikuwa na haraka kuchukua hio picha.

Vipi Jimmy alikuwepo au yupo busy na mambo mengine?
Hiyo picha nimetumiwa na mdau wangu ambaye anafanya kazi hapo Oysterbay Shopping Center. Nadhani ile hofu ya kumpiga Apson ndo ilifanya picha iyumbe. Kuhusu Jimmy, sina taarifa zake kwa vile simfahamu. Labda wasiliana na GENTAMYCINE
 
Jimmy ni mtoto wa mzee Apson huwa anakuwa nae around.
 
Anaweza kuwa amekutana na mmiliki wa TSN ila hawezi kuwa anapanga nae deal kama hiyo!

Never, haitatokea kwa mmiliki huyo kujihusisha na siasa nje ya CCM.
 
uongo,tsn ni ya familia kuu...farouk ni mmiliki hewa,so haiwezekani,kwanza farouk karudi lini,si yuko arabuni?
 
Mkuu Tetty, nimeripoti uhalisia. Na huu ndio mkakati unaoratibiwa na Apson Mwang'onda.

Basi kama hao akina Apson wanakudanganya kukulipa zile pesa za wizi waambie mfupa walioushindwa MAFISI,aslani Paka hauwezi.Lizaboni hilo fupa lenu limalizieni wenyewe.Tunahitaji usafi uliotukuka.Navyojua alikaribishwa na chama chake mlichomsaidia kukisajili aka Act wazalendo,huku tunawaambia Tanzania bila CCM/Lowassa na Mafisadi inawezekana.Rudisha tu pesa za watu usije ukaambulia BAN
 
Lizaboni CDM sio ya mbowe peke yake na hapo ndo uongo wako ulipoukosea
 
Last edited by a moderator:
Lizaboni Mwabepande umewahi kufika?
Ndio wapi? Mie sikujui huko. Labda unitajie maeneo ya mfaranyaki, Makambi, Mateka, Ruhuwiko, Msamala, Mwenge Mshindo, Mshangano na Matarawe. Huko unakotaja sikujui
 
Lizaboni CDM sio ya mbowe peke yake na hapo ndo uongo wako ulipoukosea
Mkuu, kwa CDM wanaofanya maamuzi ni wachache tu. kumbuka hapo awali Lowasa alishafanya mazungumzo na Mzee Mtei. Usishangae yakitokea
 
uongo,tsn ni ya familia kuu...farouk ni mmiliki hewa,so haiwezekani,kwanza farouk karudi lini,si yuko arabuni?
Hahahahahaaaaaa! Mpigie sasa hivi Apson atakuambia
 
Mkuu, kwa CDM wanaofanya maamuzi ni wachache tu. kumbuka hapo awali Lowasa alishafanya mazungumzo na Mzee Mtei. Usishangae yakitokea

CDM naijua vzr haiez Fanya kosa hlo nakuambia for experience n uhalisia
 
Anaweza kuwa amekutana na mmiliki wa TSN ila hawezi kuwa anapanga nae deal kama hiyo!

Never, haitatokea kwa mmiliki huyo kujihusisha na siasa nje ya CCM.
Duh! Mkuu. Kwani unamjua vema Apson?
 
Jamani tusimu underestimate Lizaboni.. Mara zote alikuwa analeta habari ambazo baadae tulikuja kuziprove ni za kweli.. Siku zote alikuwa anasema Magufuli ndio atapeperusha bendera na kweli imekuwa..

Don't underestimate this guy.. Hayuko Songea kama mnavyodhani, yawezekana ni puppet wa kampuni nyeti
 
Ndio wapi? Mie sikujui huko. Labda unitajie maeneo ya mfaranyaki, Makambi, Mateka, Ruhuwiko, Msamala, Mwenge Mshindo, Mshangano na Matarawe. Huko unakotaja sikujui

Wewe mgoni jeuri sana MWABEPANDE ni sehemu maarufu kwa kung'oa kucha na meno..muulize Dk.ulimboka na Kibanda
 
Back
Top Bottom