Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwa upande wako unaona Apson alikuwa sahihi kuhonga wajumbe wa NEC, CC na MM ili tu Lowasa awe Rais? Pia unaona kuwa Apson alikuwa sahihi kuajiri vijana wa IT ili wahack mfumo wa Tume?
Pia ni kama kikwete alieamua kumbeba Kingunge na kukaa naye ikulu miaka yote kwa fadhila tuu, leo katoka anasema utumbo mtupu. Yeye ndie alikuwa chanzo cha tanzania kutoendelea basi kama ni hivyo. Watu kama hawa ambao wanakiri hawa ku perform ingekuwa vizuri tukawashitaki! Tutengeneze mfumo kwa ajili ya watu kama hawa. Wamekula na kujilimbikizia mali kwa pesa ya walipakodi miaka yote tangu TANU hivihivi leo wanakiri hadharani hawaja perform. Ni ajabu na kweliInawezekana aliyemteua alikuwa na dhamira njema. Ila watu wanabadirika. Ni kama Mkapa alipomteua Sumaye kuwa Waziri Mkuu lakini sasa anasema kuwa CCM haijafanya lolote kwa miaka 50
Hapana Mkuu. Sijaipata kwa ukamilifu wake. Nimepata dondoo tu za baadhi ya mambo. Kwa moyo mkunjufu nakuachia wewe kazi hiyo. Naahidi kutoa ushirikiano kwa lolote litakalojitokezaNa Ndiyo WAKAJIFUNZE Ni Kwanini TANZANIA Ni Ya 2 Ktk UJASUSI Barani AFRICA Na Ni Ya 10 Ktk UJASUSI ULIOTUKUKA Duniani. Mkuu LIZABONI Nitoe Breaking News Ya UKAWA Iliyotokea Sasa au Na Wewe UMESHAIPATA Nikuache Uitoe? Wanajifanya KUWAFICHA Watu Waliowadanganya ILA Kuna Kitu Huko Kimetokea Jana Usiku Na Kingine Kimemalizika Kutokea Muda Si Punde Na Najua Kwa UTUNDU Na UELEDI Wako Na Wewe UMESHAKINYAKA Mkuu au Bado? Siku 7 au 21 Zijazo Hutokuja Tena KUUSIKIA Huo Muungano Wao Kwa Hiki Kilichotokea Jana Na Hivi Punde Na Kuna Bonge La FUKUTO Huko Sasa. Hakika CCM Ni Habari Nyingine!
Magufuli atakula sahani moja na hawa. Si tumkwa vile wamekimbia CCM bali kutokana na ufisadi waoPia ni kama kikwete alieamua kumbeba Kingunge na kukaa naye ikulu miaka yote kwa fadhila tuu, leo katoka anasema utumbo mtupu. Yeye ndie alikuwa chanzo cha tanzania kutoendelea basi kama ni hivyo. Watu kama hawa ambao wanakiri hawa ku perform ingekuwa vizuri tukawashitaki! Tutengeneze mfumo kwa ajili ya watu kama hawa. Wamekula na kujilimbikizia mali kwa pesa ya walipakodi miaka yote tangu TANU hivihivi leo wanakiri hadharani hawaja perform. Ni ajabu na kweli
Kwa mataifa mengine, Apson angenyongwa. Ila hapa Tanzania tuna mfumo wa kuleana na kulindana. Nadhani Magufuli atakuwa wa mfano na atarekebisha hali hiihizi mada za lizaboni zinakuwa kweli ni kiboko.
lakini huyo apson kama kweli amefanya kosa kubwa sana
Hakika. Na mapambano yalikuwa makubwa sana kuliko watu walivyokuwa wanaona. Tumshukuru Mungu tumefika hapa kwa amani. Lowasa na genge lake si watu kabisa. Ni zaidi ya wanyama. Tena huyu Apson ndo kabisaaaa!ilikuwa ni vita kubwa dhidi ya hao majambazi, ndio maana Jana Magufuli aliongea Kwa uchungu sema hakuweka wazi walichokuwa wanapambana nacho
Hapana Mkuu. Sijaipata kwa ukamilifu wake. Nimepata dondoo tu za baadhi ya mambo. Kwa moyo mkunjufu nakuachia wewe kazi hiyo. Naahidi kutoa ushirikiano kwa lolote litakalojitokeza
Sote tumpe ushirikiano Magufuli ili atekeleze majukumu yake ipasavyo. Pia sote tumuombee ili Mungu ampe ulinzi wa kutoshaTuendelee Kumuombea Magufuli Mungu ampe nguvu ya Kupeleka mbele hili Taifa la Tanzania ....Si rahisi hata kidogo kupambana maana kama usemavyo watu wanakuchekea Mchana usiku wanapanga mapambano kukuangusha ....siku zote Ukiwa Muadilifu na Mchapa kazi lazima uundiwe Mizengwe sana tu sijui Watanzania tukoje ???Binafsi nakuongeza kwenye sala zangu Baba
Na Ndiyo WAKAJIFUNZE Ni Kwanini TANZANIA Ni Ya 2 Ktk UJASUSI Barani AFRICA Na Ni Ya 10 Ktk UJASUSI ULIOTUKUKA Duniani. Mkuu LIZABONI Nitoe Breaking News Ya UKAWA Iliyotokea Sasa au Na Wewe UMESHAIPATA Nikuache Uitoe? Wanajifanya KUWAFICHA Watu Waliowadanganya ILA Kuna Kitu Huko Kimetokea Jana Usiku Na Kingine Kimemalizika Kutokea Muda Si Punde Na Najua Kwa UTUNDU Na UELEDI Wako Na Wewe UMESHAKINYAKA Mkuu au Bado? Siku 7 au 21 Zijazo Hutokuja Tena KUUSIKIA Huo Muungano Wao Kwa Hiki Kilichotokea Jana Na Hivi Punde Na Kuna Bonge La FUKUTO Huko Sasa. Hakika CCM Ni Habari Nyingine!
Magufuli anza na Apson Mwang'onda kwenye mapambano yako dhidi ya ufisadi. Hakika tutakupa ushirikiano stahiki
Kwa hili napingana na wewe. Mtu anaweza kuwa Afisa Usalama lakini akawa na interest zake kwa mgombea mmoja. Ndivyo alivyofanya Apson. Alielekeza nguvu zake kwa Lowasa tu na akawa anawachafua wengineKumbuka maasifa usalama hawastaafu pengine alikuwa kwenye kazi yake kujiweka karibu na cdm/ukawa ili kuchukua data muhimu na kuzipeleka sehem husika!
Mkuu GENTAMYCINE ataweka humu kila kitu. Tuwe na subira
Mkuu GENTAMYCINE ataweka humu kila kitu. Tuwe na subira
peleka upuuzi wako Lumumba.